Ingekuwa ni hapa Tanzania, ungeweza kusema ‘wameuza’ mechi katika dakika za mwisho baada ya England kuruhusu bao la kusawazisha katika dakika ya pili kati ya tatu za nyongeza katika mechi yao ya kwanza ya michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa.
Russia ndiyo waliosawazisha mwishoni kabisa na kufuta furaha ya England iliyotangulia kupata bao mwanzoni mw akipindi cha pili kupitia Eric Dier. Matokeo ya bao 1-1 yanaifanya England kuondoka na pointi moja, hivyo kupoteza mbili mwishoni kabisa.
ENGLAND (4-3-3): Hart; Walker, Cahill, Smalling, Rose; Alli, Dier, Rooney; Lallana, Kane, Sterling
Subs not used: Forster, Milner, Vardy, Clyne, Henderson, Sturridge, Stones, Wilshere, Barkley, Bertrand, Rashford, Heaton
RUSSIA (4-2-3-1): Akinfeev; Smolnikov, Ignashevich, Vasili Berezutski, Schennikov; Neustadter, Golovin; Smolov, Shatov, Kokorin; Dzjuba
Subs not used: Lodygin, Shishkin, Alexsei Berezutski, Yusupov, Glushakov, Mamaev, Shirokov, Ivanov, Samedov, Torbinski, Kombarov, Marinato
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
0 COMMENTS:
Post a Comment