June 3, 2016


Golden State Warriors wameanza vizuri mechi ya kwanza ya fainali ya NBA baada ya kuitwanga Cleveland Cavaliers kwa pointi 104-89.

Mechi hiyo iliyochezwa usiku wa kuamkia leo, ilikuwa ni ya kukata na shika hasa.

Hata hivyo, Warriors walionekana watashinda kutokana na kuutawala mchezo kwa kiasi kikubwa na kuiangusha Cavaliers iliyokuwa inaingozwa na LeBron James.

Kwa upande wa Warriors, wakali kama Stephen Curry na Klay Thompson hawakuanza mechi hiyo vizuri huku Shaun Livingston, Andre Iguodala na Leandro Barbosa wake vizuri.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV