June 3, 2016


Wakati Watanzania wamekuwa wakihimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuiunga mkono Taifa Stars wakati ikiivaa Misri katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika, timu hiyo leo imefanya mazoezi ya mwisho.

Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja huo, tayari kabisa kwa mechi ya kesho.

Wachezaji wa Stars walionekana wanajiamini na wako tayari kwa ajili ya mechi hiyo ya kesho. Kikubwa ni kwenda kuwaunga mkono tu.1 COMMENTS:

  1. NITAKUJA KUWAONA KWA MARA YA KWANZA STAR BILA YA CANAVARO.YAANI SIJAZOEA,NAMPENDA SANA.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV