June 5, 2016


Kocha Jackson Mayanja tayari amekabidhi ripoti yake na kamati ya ufundi ya Simba, imekutana.

Taarifa za ndani ya Simba zinasema baada ya kamati hiyo ya ufundi kukabidhiwa ripoti, mara moja imeanza kuifanyia kazi.

“Ndiyo amekabidhi, kamati ya ufundi nayo imeanza kuifanyia kazi kwa ajili ya kuangalia ni kipi cha kurekebisha.

“Kuna mengi nafikiri ya kujadili, yanahitaji muda na utulivu, hivyo kwa sasa subirini kwanza hatuna chochote cha kuzungumza,” kilieleza chanzo.


Ripoti ya Mayanja inaeleza Simba wanapotakiwa kurekebisha ili kuhakiksiha wanakuwa na kikosi bora msimu ujao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV