June 9, 2016


Kiungo mkongwe wa Manchester United, Michael Carrick ameongeza mkataba wa mwaka mmoja.

Carrick anaongeza mkataba wa mwaka mmoja chini ya Kocha mpya, Jose Mourinho huku wengi walikuwa wakiamini itakuwa vigumu kupewa nafasi hiyo.

Kiungo huyo mwenye miaka 34, amekuwa uti wa mgongo wa kiungo cha timu hiyo ambayo ni mabingwa wa Kombe la FA.


Carrick alijiunga na Man United kwa mara ya kwanza mwaka 2006 akitokea 2006.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV