June 21, 2016
Wakati wengi walikuwa wanaona Simba wamechelewa kuanza maandalizi lakini ukweli ni hapana. Wanajua wanachofanya.

Msemaji wa Simba, Haji Manara ambaye ameibuka kutoka likizo, ame
sema kikosi chao kitaanza mazoezi rasmi wiki ijayo.

“Kila kitu kinafanyika kwa mpangilio na maandalizi yanakwenda kama tunavyopanga kwa kila kitu.

“Siamini kama kusema kila kitu ndiyo sahihi, Simba inajua inachokifanya,” alisema.


Simba imekuwa ikiendelea kufanya usajili wa kimyakimya huku ikiadi kuwatangaza baada ya kumaliza zoezi zima.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV