June 21, 2016


Mzuka wa nusu fainali za Copa America ni usiku wa kuamkia kesho na mechi zote utaziona kupitia StarTimes.

Mechi ya kwanza ni usiku wa kuamkia kesho Jumatano wakai wenyeji Marekani watakapokuwa na kazi ngumu dhidi ya magwiji Argentina. Mechi hii itachezwe Saa 9 alfajiri.

Usiku wa kuamkia keshokutwa, yaani Alhamisi Saa 10 Alfajiri, Colombia watakutana na Chile maarufu kama watoa vipigo.


Kwa mashabiki wa soka nchini wanaweza kushuhudia mambo haya kupitia king’amuzi bora cha StarTimes tu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV