June 30, 2016


Kocha Joseph Omog na Simba, sasa ni uhakika watafanya kazi pamoja.

Omog raia wa Cameroon na Simba wamekubaliana kwa kila kitu, kilichobaki ni kusaini mkataba.

Ndani ya saa 24 zijazo, kocha huyo anatua nchini kumalizana na Simba na mara moja ataanza kazi.


Omog ni kocha wa kwanza kwenye rekodi za Azam FC kuipa ubingwa wa Tanzania Bara, pia ni wa mwisho kwa klabu hiyo. Aliipa ubingwa mwaka 2014 mbele ya vigogo Yanga na Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV