June 30, 2016


Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limemfungulia mashitaka Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro.

TFF imeandika barua kumtaka Muro ahudhurie kikao cha kamati ya maadili ili kujitetea na kimepangwa kufanyika keshokutwa Jumamosi.


Muro anatuhumiwa kuishambulia TFF kwenye vyombo vya habari ingewa haijaelewa ni wapi na lini.

1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV