June 30, 2016


Kurejea kwa Kocha Jose Mourinho katika Ligi Kuu England na ugeni wa Pep Guardiola kutaamsha utamu wa ligi hiyo.

Gumzo zaidi kwa makocha wao ni vikosi vyao, vitakuwaje? Lakini kwa usajili ambao wanaendelea kufanya inaonekana vikosi vyao vitakuwa hivi ifuatavyo na vitarejesha raha na ushindani wa juu wa ligi kuu hiyo maarufu. 

VIKOSI:
United (4-2-3-1): De Gea; Fosu-Mensah, Smalling, Bailly, Shaw; Rooney, Schneiderlin; Rashford, Mkhitaryan, Martial; Ibrahimovic.

City (4-2-3-1): Hart; Sagna, Kompany, Otamendi, Clichy; Fernandinho, Gundogan; De Bruyne, Silva, Nolito; Aguero.

MECHI TATU ZA MWANZO:
MANCHESTER CITY
July 22 - Bayern Munich (A)
July 25 - Manchester United (N)
July 28 - Borussia Dortmund (N)

MANCHESTER UNITED 
July 22 - Borussia Dortmund (N)
July 25 - Manchester City (N)
August 3 - Everton (H)

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV