WANACHAMA YANGA WAENDELEA KUSUBIRI UPIGAJI KURA.... Wanachama wameendelea kusubiri zoezi la upigaji kura ili kuchagua viongozi wa klabu yao kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Hata hivyo imeelezwa ndani ya dakika chache zoezi la upigaji kura litaanza mara moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment