June 2, 2016Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya De Paul wakiwa na tuzo za IPad na ngao ya dhahabu baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (Jica), Toshio Nagase (kulia) pamoja na mjumbe wa kamati kuu ya shirika hilo, Jacob Katanga. Jica ndiyo imedhamini tuzo hizo katika mdahalo uliyoratibiwa na Tamasha la Majimaji Selebuka.


Wajumbe wawakilishi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (Jica) ambalo limedhamini zawadi za IPad kwa shule tatu zilizoibuka kidedea kwenye mdahalo kwa shule sekondari mkoani Ruvuma ulioratibiwa na Tamasha la Majimaji Selebuka. Kutoka kushoto ni Kei Umetsu, Zuhura  Mwakijinja (Afisa miradi), Toshio Nagase (Mkurugenzi) na Jacob Katanga.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV