July 22, 2016


Barcelona imeipiga bao Real Madrid na kumnasa kiungo Mreno, Andre Gomes.

Gomes aliyeisaidia Ureno kubeba ubingwa wa Euro 2016, ametua Barcelona kwa kitita cha euro 50. Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ndiye nahodha wa Ureno.


uamuzi wa Barcelona kwa kiungo huyo wa Valencia umekuwa ni kama wa kushitukiza na umewashangaza Madrid ambao walionekana wana nafasi ya kumnasa kiungo huyo mwenye miaka 22.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic