July 26, 2016


Kipa nyota nchini, Juma Kaseja ameteuliwa kuwa kocha wa makipa wa kikosi cha vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys.

Kaseja anaungana na kikosi hicho ambacho kinasafiri kwenda kambini Madagascar kupitia Afrika Kusini.

Kaseja amechukua nafasi ya kocha wa makipa aliyekuwepo awali ambaye anabaki nchini kwa ajili ya kushiriki kozi za ukocha.


Kipa huyo wa zamani wa Simba, alikuwa katika mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya na Mbeya City.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV