July 26, 2016


Mesut Ozil ameendelea kula bata Los Angeles, Marekani kabla ya kurejea kazini Arsenal na kuungana na wenzake.

Ozil raia wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki, amekuwa akila bata baada ya michuano ya Euro ambayo Ujerumani ilichemsha mwishoni.


Kiungo hutu mnyumbulikaji, amekuwa akifurahia pamoja na wenzake Emre Can wa Liverpool pia Leroy Sane ambaye anawaniwa na Man City.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV