July 23, 2016Ayoub Idrissa Semtawa amejiunga na kikosi cha Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili.

Semtawa ambaye alikuwa kiungo wa Coastal Union msimu uliopita, kitaaluma ni daktari.


Pamoja na Coastal Union kuteremka daraja, Semtawa alionyesha kiwango cha juu.


Sasa anakuwa kiungo mpya wa Mbeya City ambaye kama atajituma na kuendeleza nidhamu yake ya kazi, basi atakuwa msaada mkubwa katika katika kikosi hicho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV