July 28, 2016Anajulikana kwa jina la Jose Mourinho, kocha mkuu mpya wa Manchester United ambaye leo amewatema wachezaji tisa akiwemo mkongwe, Bastian Shweinsteiger.

Mjerumani huyo, ameelezwa uso kwa uso na Mourinho ambaye amefanya hivyo kwa wachezaji wengine nane hivyo kukamilisha idadi ya tisa aliowatema.


Taarifa zinaeleza, Mourinho amewaambia wachezaji hao kutafuta timu.

WALIOTEMWA:
Mabeki:Tim Fosu-Mensah, Paddy McNair, Tyler Blackett, Cameron Borthwick-Jackson.

Viungo: Bastian Schweinsteiger, Andreas Pereira, Adnan Januzaj

Washambuliaji: Will Keane, James Wilson 


1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV