Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekutana na mwanamuziki na muigizaji maarufu, Jeniffer Lopez.
Ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Jennifer, katika sherehe iliyofanyoka Las Vegas nchini Marekani na Ronaldo alikuwa kati ya wageni na aliungana na wengine kumtakia mwanadada huyo mtu mzima lakini mrembo, kila la kheri katika kuzaliwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment