July 21, 2016


Chama cha Soka England (FA), kimekubaliana kila kitu na kocha Sam Allardyse maarufu kama Big Sam ili achukue nafasi ya kukinoa kikosi hicho.

Taarifa zinasema, ndani ya muda mchache, Big Sam atatangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa England anayechukua nafasi ya Roy Hodgson.

Hodgson alijionyesha mlango wa kutokea baada ya England kuvurunda kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic