July 21, 2016



Nyota wawili, Paul Pogba na Romelu Lukaku wameonyesha kuwa kila mmoja ni mjuzi wa mpira wa kikapu.

Lukaku anakipiga Everton na Lukaku, anakaribia kujiunga na Manchester United akitokea Juventus ya Italia.


Pogba raia wa Italia na Lukaku kutoka Ubelgiji ingawa wote ni ’mali’ ya Afrika, wameonekana wakicheza mpira wa kikapu kila mmoja akijaribu kumuonyesha mwenzake alivyo ’mkali.




3 COMMENTS:

  1. Pogba sio raia wa Italia.. Acha kupotosha umma.....

    ReplyDelete
  2. Haya makosa Saleh utayaacha lini? Imekuwa ni jambo la kawaida sasa

    ReplyDelete
  3. Lukaku anakaribia kujiunga man United???

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic