August 16, 2016


Pamoja na burudani nyingine, Kocha Mkuu wa Chelsea, Antonio Conte anaonekana atakuwa burudani katika suala la midadi.

Kocha huyo anaonekana kutotulia kabisa kwenye benchi na mechi ya Chelsea ikishinda mabao 2-1 dhidi ya West Ham, ilikuwa shida.


Angalia picha hizo namna Conte aliyetokea Juventus ya Italia, alivyoongeza burudani kwenye Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV