August 30, 2016


Unaweza kusema kuwa sasa amekubali, kwani Mario Balotelli ameangana na masela wake baada ya kufanya mtoko maalumu jijini Manchester, usiku wa jana.

Inaonekana wazi, alikuwa akiwaaga rafiki zake hao kuwa hawezi kubaki Liverpool kwa kuwa Kocha Jurgen Klopp ameonyesha wazi hamhitaji.

Sasa kumekuwa na taarifa kwamba anakwenda kujiunga na Nice ya Ufaransa.

Balotelli alionekana ni mwenye furaha akiwaaga washikaji zake ambao baada ya kupata msosi kwenye mhagawa wa Kiitaliano, walianza kupiga picha pamoja, kama sehemu ya kuangana.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV