August 30, 2016





Beki kisiki wa Real Madrid, Sergio Ramos amesema ameshitushwa kuona kips mkongwe wa Hispania, Iker Casillas hakuitwa kwenye kikosi hicho.

Casillas, hivi karibuni ameisaidia FC Porto kusonga mbele hadj kuingia kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Ramos amesema amekuwa akizungumza na Casillas mara kwa mara, lakini kikubwa ni kukaa na kushirikiana na kocha.

“Lazima tuamini mipango ya kocha hats kama suala hilo linasumbua. Lakini kila mmoja wetu ameshituka,” alisema.


“Pia tutaendelea kusubiri kwa kuwa itafikia sikh, uamuzi utabadilishwa au vinginevyo. Ila kwa sasa, tutapambana kwa ajili ya taiga letu,” alisema Ramos ambaye alicheza kwa ushirikiano mkubwa na Casillas wakati akiwa kips wa Madrid, pia nahodha wake timu ya taifa ya Hispania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic