Cristiano Ronaldo na Pepe wamerejea mazoezini Real Madrid na kuungana na wenzao.
Kocha Mkuu, Zinedine Zidane amewakaribisha Wareno hao ambao walipewa mapumziko zaidi baada ya kuisaidia timu yao ya taifa kubeba ubingwa wa Euro.
MECHI ZINAZOFUATA:
Jumanne, August 16: Stade de Reims (H - kirafiki)
Jumapili, August 21: Real Sociedad (A)
Jumamosi, August 27: Celta Vigo (H)
Jumamosi, September 10: Osasuna (H)
0 COMMENTS:
Post a Comment