Stand United yenyewe inadaiwa milioni 48.3 na aliyekuwa kocha wao, Mathias Lule raia wa Uganda anayedai fidia ya mishahara, usajili pamoja na bima.
Kamati hiyo ilikaa jana chini ya Makamu Mwenyekiti Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Raymond Wawa, Simba imetia fora kwa kuwa na kesi nyingi zaidi.
Maamuzi ya kamati, pande mbili zimalizane ndani ya wiki moja na kutoa taarifa kabla ya Jumapili ijayo.
0 COMMENTS:
Post a Comment