August 17, 2016

KESSY AKIMILIKI MPIRA KATIKATI YA JEAN BAPTISTE MUGIRANEZA NA SHOMARI KAPOMBE KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII INAYOENDELEA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
Hatimaye beki Hassan Kessy leo ameanza kuichezea Yanga katika mechi inayotambulika na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Beki huyo ambaye uhamisho wake ulikuwa na mgogoro ameichezea Yanga katika mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC ambayo kwa sasa iko katika dakika 10 za mwisho na Yanga ikiwa inaongoza kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Donald Ngoma.

Muendelezo wa mechi hiyo, zaidi fuatilia up to dates kwenye blog hii.

1 COMMENTS:

  1. Yaaah,nimemuona.Kessy ni mchezaji aliyehusika katika magoli yote ya yanga ilipoifunga Simba msimu wa 2015/2016,Atawasaidia sana.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV