August 17, 2016Beki Serge Wawa wa Azam FC ambaye anaukosa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Yanga na timu yake leo, amekuwa akiendelea kukomaa na mazoezi ilivyo chini ya kocha wa viungo kutoka nchini Hispania.

Wawa aliyekuwa majeruhi amerejea uwanjani lakini mazoezi zaidi amekuwa akifanya gym chini ya kocha huyo ambaye ameonekana kuwa mtaalamu hasa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV