Mjadala ni kwamba kikosi cha KRC Genk anachochezea Mtanzania Mbwana Samatta, kimepata kundi mchekea katika michuano ya Europa.
Genk imepangwa kundi F lenye timu za Athletic Bilbao ya Hispania, Rapid Vienna ya Austria na Sassuolo ya Italia.
Inaoenkana kama Genk imekwepa vigogo wengi na ndani ya Ubelgiji, wachambuzi wanaona kuwa timu hiyo ina nafasi ya kusonga mbele kutokana na kuwa na kundi ambalo linatoa nafasi yenye kupata nafasi ya pili na ikiwezekana ya kwanza.
Lakini baadhi ya wapenda michezo, wamekuwa wakionekana zaidi kuzihofia Bilbao ambayo ina uzoefu mkubwa na michuano ya kimataifa pamoja na Rapid ambayo ni kongwe.
MAKUNDI
KUNDI A:
Manchester United (ENG), Fenerbahçe (TUR), Feyenoord (NED), Zorya Luhansk (UKR)
KUNDI B:
Olympiacos (GRE), APOEL (CYP), Young Boys (SUI), Astana (KAZ)
KUNDI C:
Anderlecht (BEL), St-Étienne (FRA), Mainz (GER), Qarabağ (AZE)
KUNDI D:
Zenit (RUS), AZ Alkmaar (NED), Maccabi Tel-Aviv (ISR), Dundalk (IRL)
KUNDI E:
Viktoria Plzeň (CZE), Roma (ITA), Austria Wien (AUT), Astra Giurgiu (ROU)
KUNDI F:
Athletic Club (ESP), Genk (BEL), Rapid Wien (AUT), Sassuolo (ITA)
KUNDI G:
Ajax (NED), Standard Liège (BEL), Celta Vigo (ESP), Panathinaikos (GRE)
KUNDI H:
Shakhtar Donetsk (UKR), Braga (POR), Gent (BEL), Konyaspor (TUR)
KUNDI I:
Schalke (GER), Salzburg (AUT), Krasnodar (RUS), Nice (FRA)
KUNDI J:
Fiorentina (ITA), PAOK (GRE), Slovan Liberec (CZE), Qäbälä (AZE)
KUNDI K:
Internazionale Milano (ITA), Sparta Praha (CZE), Southampton (ENG), Hapoel Beer-Sheva (ISR)
KUNDI L:
Villarreal (ESP), Steaua Bucureşti (ROU), Zürich (SUI), Osmanlıspor (TUR)
0 COMMENTS:
Post a Comment