Kama Mtanzania unayemuunga mkono nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye anakipiga katika kikosi cha KRC Genk ambacho kimepangwa Kundi F la michuano ya Europa Cup, tafadhari, TOA MAONI YAKE. Unaonaje, ni kundi gumu sana, rahisi au unafikiri Samatta na Genk wanatakiwa kufanya kipi wasonge hatua za mbele zaidi?
KUNDI F:
Athletic Club (Hispania), Genk (Ubelgiji), Rapid Wien (Astria), Sassuolo (Italia)
MAKUNDI MENGINE
KUNDI A:
Manchester United (ENG), Fenerbahçe (TUR), Feyenoord (NED), Zorya Luhansk (UKR)
KUNDI B:
Olympiacos (GRE), APOEL (CYP), Young Boys (SUI), Astana (KAZ)
KUNDI C:
Anderlecht (BEL), St-Étienne (FRA), Mainz (GER), Qarabağ (AZE)
KUNDI D:
Zenit (RUS), AZ Alkmaar (NED), Maccabi Tel-Aviv (ISR), Dundalk (IRL)
KUNDI E:
Viktoria Plzeň (CZE), Roma (ITA), Austria Wien (AUT), Astra Giurgiu (ROU)
KUNDI G:
Ajax (NED), Standard Liège (BEL), Celta Vigo (ESP), Panathinaikos (GRE)
KUNDI H:
Shakhtar Donetsk (UKR), Braga (POR), Gent (BEL), Konyaspor (TUR)
KUNDI I:
Schalke (GER), Salzburg (AUT), Krasnodar (RUS), Nice (FRA)
KUNDI J:
Fiorentina (ITA), PAOK (GRE), Slovan Liberec (CZE), Qäbälä (AZE)
KUNDI K:
Internazionale Milano (ITA), Sparta Praha (CZE), Southampton (ENG), Hapoel Beer-Sheva (ISR)
KUNDI L:
Villarreal (ESP), Steaua Bucureşti (ROU), Zürich (SUI), Osmanlıspor (TUR)
0 COMMENTS:
Post a Comment