August 16, 2016


Chini ya Kocha Joseph Omog, Simba imeendelea na mazoezi kujiweka sawa kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara.

Simba wamefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani ikiwa ni maandalizi ya mwisho kabla ya kuanza kwa ligi hiyo.


Kocha Omog alikuwa akifanya mazoezi na baadaye kuwasimamisha mara kadhaa na kutoa maelezo kuhusiana na mambo wanayokosea.

Kikosi cha Simba, kimeonekana kuwa vizuri katika mechi zake za kirafiki ingawa Omog amesisitiza, kuna mambo kadhaa wanapaswa kurekebisha.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV