Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake kabla ya kuiva Mo Bejaia ya Algeria katika mechi ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Taifa, Jumamosi.
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja huo leo kabla ya mechi hiyo ya Jumamosi.
Kesho, Yanga italazimika kuuacha uwanja huo ili wageni Bejaia wapate nafasi ya kuutumia.
0 COMMENTS:
Post a Comment