September 18, 2016


Manchester United inatarajiwa kukipiga dhidi ya Watford mchana wa leo majira ya saa nane kamili kwa muda wa Afrika Mashariki, kipute kitapigwa kwenye Uwanja wa Vicarage Road unaomilikiwa na Wtford.

Baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo katika Premier League na Europa, Man United inahitaji ushindi ili kurejesha moyo wa upambanaji kwa wachezaji wake.

Ratiba nyingine ya mechi za leo katika Premier ipo hivi:
Southampton    v    Swansea City    10:15 Jioni   
Crystal Palace   v    Stoke City         10:15 Jioni   
Tottenham         v    Sunderland       12:30 Jioni


Hivi ndivyo walioonekana wakiianza safari ya kuwafuata Watford, hii ilikuwa ni jana Jumamosi.

Zlatan Ibrahimovic naWayne Rooney

Marouane Fellaini na Ibrahimovic

Juan Mata akiwaongoza wenzake.


Jose Mourinho na memba wenzake wa benchi la ufundi.

Martial, Depay na De Gea

Pogba akionekana kuwa na furaha.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV