September 3, 2016

Mbeya City imekaa kileleni mwa Ligi kuu Bara baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbao FC katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kwa ushindi huo, Mbeya City imekaa kileleni ikiwa na pointi saba.


Mechi nyingine ni Kagera Sugar imeonyesha kazi Mwadui FC kwa kuitwanga kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

MECHI NYINGINE:
Majimaji 1-2 Mtibwa Sugar
JKT 0-0 African Lyon.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV