Beki wa zamani wa Manchester United, Steve Bruce ndiye kocha mpya wa Asteon Villa.
Bruce mwenye miaka 55, anachukua nafasi ya Roberto Di Matteo aliyetimuliwa. Kocha huyo anakuwa wa sita kuajiriwa ndani ya miezi 20.
KLABU ALIZOONGOZA
Sheffield Utd: P55 W22 D15 L18
Huddersfield: P66 W25 D16 L25
Wigan: P8 W3 D2 L3
Crystal Palace: P18 W11 D2 L5
Birmingham: P270 W100 D70 L100
Wigan: P68 W23 D17 L28
Sunderland: P98 W29 D28 L41
Hull: P201 W82 D44 L75
0 COMMENTS:
Post a Comment