Serikali imeanza ukarabati wa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam hasa katika ile sehemu ya kuchezea kwa kuondoa mipira inayochanganywa na nyasi na kuweka mipya.
Timu zililalamika kwamba mipira hiyo ilikuwa kikwazo na chanzo cha kuumia wachezaji wake kwa kuwa haukutumika kwa muda mrefu.
Lakini kuanzia mapema, tayari kazi ya kuweka mipira mipya ndani ya nyazi imeanza na Simba itakuwa ya kwanza kuutumia ikivaa Kagera Sugar.
Simba 2 kagera sugar 0
ReplyDeleteWaoo
ReplyDelete