October 14, 2016


Kikosi cha timu ya Salford City kinataka kucheza Ligi Kuu England ifikapo mwaka 2020.

Timu ya Salford City inamilikiwa na wachezaji wa zamani wa Manchester United maarufu kama Class of 92.

Wachezaji hao wa zamani Paul Scholes, Ryan Giggs, Nicky Butt, Gary na Phil Neville, wamepanga wanafanikiwa hayo na wameanza mpango wa kuuboresha uwanja wao ili kuongeza watazamaji hadi zaidi ya 5,000.


Pia watajenga eneo ambalo watakuwa wakikaa wamiliki hao kwa ajili ya kuangalia mechi vizuri zaidi.
Uwanja huo utakuwa mdogo lakini unatarajia kuwa wa kisasa zaidi.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic