October 11, 2016


Kati ya bondia anayeongoza kwa vituko kwa sasa ni Tyson Fury Wa Uingereza.

Mara atangaze kuwa amestaafu, mara aseme amerejea. Kama hiyo haitoshi, ameamua kutupia picha mtandaoni akiwa na mikanda yake yote.


Kuna baadhi ya wadau wamekuwa wakisema anandea kwenye ukichaa. Lakini yeye amesisitiza alishakuwa kichaa kitambo na ameishapona. Huyo ndiyo Fury bana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV