Kocha Mkuu wa West Ham United, Slaven Bilic amezua gumzo baada ya kuamua kufuta kipara chake kwa kuongeza nywele.
Bilic amefanya hivyo kwa kuongeza nywele na sasa anaonekana hana ‘walaza’ au kipara.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 48, alianza kuonekana kama walaza unasonga kwa kasi kubwa.
Lakini sasa mwonekano wake ni tofauti, huenda unaweza kumuita kijana.
0 COMMENTS:
Post a Comment