Kiungo Mjerumani, Toni Kroos ameamua kustaafu soka akiwana Real Madrid.
Toni Kroos ameongeza mkataba mrefu ambao utaisha mwaka 2022 akiwa bado na Real Madrid.
Kwa sasa ana umri wa miaka 26, hadi miaka saba ijayo, atakuwa anakwenda kustaafu soka au anaondoka kwenye soka la ushindani.
0 COMMENTS:
Post a Comment