October 13, 2016Ndanda FC imekusanya pointi moja ya ugenini katika mechi ya Ligi  Kuu Bara baada ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting.

Ndanda FC imepata sare hiyo ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Mabatini mjini Pwani, leo.

Wageni hao Ndanda FC, ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Athumani Mponda lakini wenyeji wakawasawazisha kupitia kwa Abdulrahman Mussa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV