November 30, 2016


Kiungo mkabaji, Justice Zulu ambaye ametua nchini jana, huenda leo au kesho atamalizana na Yanga.

Zulu ametua nchini usiku wa kuamkia jana tayari kumalizana na Yanga na mara moja kuanza mazoezi chini ya Kocha George Lwandamina.

Zulu raia wa Zambia, ni pendekezo la kocha huyo kutoka Zambia pia na wote wawili waliwahi kufanya kazi pamoja.


Taarifa za ndani za Yanga, zimeeleza kuwa kila kitu kipo kwenye msitari.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV