November 26, 2020


 ARISTICA Cioaba amefutwa jumlajumla kazi ndani ya Azam FC msimu wa 2020/21 kutokana na matokeo mabaya aliyopata hivi karibuni.


Uongozi wa Azam FC kupitia kwa Ofisa Habari Zakaria Thabit umesema kuwa mchakato umefanyika kuanzia timu ilipopoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Mtibwa Sugar na mechi zilizofuata timu ilicheza chini ya kiwango.

"Timu imekuwa ikicheza chini ya kiwango baada ya kupoteza mbele ya Mtibwa Sugar, hata tuliposhinda mbele ya Dodoma Jiji bado hakukuwa na kiwango bora.


"Kwenye mchezo wetu wa jana dhidi ya Yanga hali ilikuwa hivyo na tumepoteza hivyo makubaliano ya pande zote mbili tumefika makubaliano na kwa sasa Vivier Bahati atakuwa Kaimu Kocha Mkuu," amesema. 


Cioaba amesimamia Kwenye mechi 12 amepata ushindi mechi 8 sare moja kichapo 3.


Vipigo viwili mfululizo ilikuwa mbele ya KMC na Yanga kwa kufungwa bao mojamoja.


Safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 18 na ile ya ulinzi imefungwa mabao sita.



22 COMMENTS:

  1. Azam msiwaige utopolo kufukufukuza makocha mtapotea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu fuatilia historia ya MO Simba takriban miaka mitatu iliyopita kisha utoe ushauri wako kwa Azam

      Delete
    2. Jnsijua historian ww, mpaka sa hv kwa msimu huu nauliopita mmetimua makocha wangapi? huyo mwenyewe mlionaye muda cmrefu anasepa

      Delete
    3. Unaonesha jinsi gani medulla yako ilivyojaa makamasi;rejea msimu uliopita na misimu miwili nyuma yake then utupatie mrejesho na sio kumwaga povu tu

      Delete
    4. We yako ndo kabisaa, toka atoke Patrick akaja Sven mwingine Nani aliyebadilishwa? , Utopolo ; Zahara,mkwasa,Emmy, kababu kenu,kaze hao wangapi *punguza utopolo wewe team yenu Haina vission Wala mission inakwenda Kama gari liso na dereva mzimu wa mhindi bado unawatesa, mtateseka sana tu na bado*

      Delete
    5. Hii round ya kwanza tumemfukuzisha kibarua kocha wa Azam na round ya pili tunamfukuzisha kibarua kocha wa mikia fc a.k.a mo fc

      Delete
    6. Si Shanghai mliozoea kufukuza makocha baada ya kuwachapa. Simba haijawahi fukuza kocha kiss utopolo lkn utopolo Mara kibao tu. Ushahidi upo ukiuhitaji Ni makocha wangapi naniwakinani.

      Delete
  2. Duniani kote makocha huajiliwa ili wafukuzwe. Kama tomi haipati matokeo tarajiwa tegemea kocha kufukuzwa

    ReplyDelete
  3. Bado kocha wa mikia fc najua akipigwa na PLATEAU UNITED nje AWAY and HOME basi atafukuzwa tu

    ReplyDelete
  4. Bado kocha wa mikia fc najua akipigwa na PLATEAU UNITED nje AWAY and HOME basi atafukuzwa tu

    ReplyDelete
  5. Mikia kulalama mtamtimua muda si mrefu...kwa kiwango chenu cha kulalamika.. ni muda tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sishangai hayo ndo mawazo yakiutopolo. Utopolo mawazo yenu mwisho chalinze sioni ajabu mnachobwabwaja na kukiwaza.

      Delete
  6. Coach wa Azam alistahili kufutwa muda tu, yeye ndio amehusika kusajili lkn mpira anaofundisha haulingani na hadhi ya wachezaji aliowasajili.
    Kwakifupi Azam FC wanatumia gharama kubwa kusajili lkn uchezaji wao hauna mvuto wala dalili za kuchukua ubingwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii kweli kabisa,wanacheza utadhani wameshinda Wao kumbe wamefungwa,wachezaji hawajitumi inavyotakiwa hasa mechi kubwa,physical hawako vizuri,wanapenda kupiga back pass hata Kama hakuna ulazima,Kocha Hana mbinu mbadala anapofeli mbinu ya kwanza.Hana cha kujitetea aondoke,big mechi zinamshinda,Kapigwa Na Mtibwa,KMC,Yanga imebaki Simba Tu,Utachukuaje ubingwa Kama mechi kubwa nazo hukomai?.

      Delete
    2. yaani sera ya hapa sio kuangalia mpira uliochezwa bali kuizodoa azam na kocha wake, baadhi ya mashabiki wa Tz ni mazuzu sana, ingekuwa azam kafungwa na ruvu shooting tungesema wakutana na gwaride lkn kafungwa na yanga mnasema amecheza chini ya kiwango hapa ni kuwadharau yanga kuwa wamepata ushindi katika timu dhaifu, hamuangalii kocha kaze alikuja na mbinu gani.
      huyu ckocha aliposhinda mechi 6 mfululizo wala haya hayakuonekana,
      huku mikia wanaongea madhaifu ya Azam huku wanasahau walisawazisha dakika ya 88 goli lililofungwa dakika ya 41, tena badala ya kisiki Lamine moro kuumia,
      tujifunze kukubaliana na ukweli kuwa ligi ni ngumu hakuna timu yenye haki ya kupata matokeo mfululizo

      Delete
  7. Mikia fc xbirin kichapo tuu Nigeria

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe umebakia Na Uyanga Na Usimba huna jipya,inazungumziwa Azam unakimbilia uyanga vipi WW nenda Na mada.

      Delete
    2. πŸ˜„πŸ˜„ utopolo ndo akili zao muda wote wamuwaza bwana wao

      Delete
  8. Bado mikia fc a.k.a mo sports club mtamfukuza kishingo tu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic