November 3, 2016


Kocha Kina Phiri amesema Mbeya City walilazimika kufanya kazi ya ziada kuwaangusha Yanga, jana.

Phiri raia wa Malawi amesisitiza kuwa Yanga ilikuwa ngumu kwao na walipambana sana.

“Yanga ni timu ngumu sana, ni mabingwa wa Tanzania na haikuwa kazi rahisi kuwafunga. Lakini niwapongeze vijana, walisikiliza na kufanya niliyowaelekeza.

“Pia niwashukuru mashabiki, bao walionyesha uzalendo, walikuja kwa wingi na kuiunga timu mkono,” alisema.


Phiri amesema anataka wajitahidi kwa kumaliza mzunguko wa kwanza kwa kushinda mechi zilizobaki. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic