November 16, 2016

JUMA SHAROBARO WA MCHINA AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI HUO JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Kampuni ya StarTimes imezidi kupaa kiteknolojia baada ya kuzindua runinga mpya ambazo hazihitaji king'amuzi.

Runinga hizo zenye ukubwa wa Inchi 40, 32 na 24 zina king'amuzi ambacho kinakuwa ndani yake. Sherehe zimefanyika leo jijini Dar es Salaam. Angalia mambo yalivyokuwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV