November 11, 2016




Mhe Spika anasikitika kuwatangazia kuwa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Dimani, Zanzibar Mheshimiwa Hafidh Ali Tahir (Refa wa Kimataifa wa Zamani) na Coach wa Team ya Bunge Sports Club amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo katika Hospitali ya General hapa Dodoma.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huu zitatolewa hapo baadae.Mhe Spika anaungana na Wabunge wote katika kuomboleza msiba huu.

MAREHEMU TAHIR (WA KWANZA KULIA), WAKATI AKIITUMIKIA TIMU YA BUNGE.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic