November 3, 2016


Derby ya North London inasubiriwa kwa hamu kubwa wakati Arsenal na Tottenham zitakapokutana katika mechi ya Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Emirates, Jumapili.

Kocha Arsene Wenger, amewaongoza vijana wake kufanya mazoezi ya mwishomwisho ili kuhakikisha wanashinda mechi hiyo.


Tayari Arsenal wake ‘on fire’ lakini wanajua, mechi hiyo kawaida inakuwa haina mwenyewe.

Kilichokuwa kinavutia zaidi katika mazoezi hayo ni kwamba yalikuwa makali kwelikweli utafikiri mechi na Wenger aliacha vijana watoane jasho hasa.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic