November 10, 2016



Yanga imeichapa Ruvu Shooting mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara, Alhamisi ya Novemba 10, pichani ni baadhi ya matukio ya mchezo huo ambao umeifanya Yanga kumaliza raundi ya kwanza ya ligi hiyo ikiwa nafasi ya pili kwa kuzidiwa na Simba iliyo kileleni pointi mbili tu. 


Wachezaji wa Yanga wakipongezana baada ya kufunga bao la kwanza.


Msuva wa Yanga (katikati) akidhibitiwa na walinzi wa Ruvu.

Kikosi cha Yanga kilichoanza.

Donald Ngoma wa Yanga akipata wakati mgumu mbele ya wachezaji wa Ruvu.

Kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm mara baada ya mchezo huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic