Kiungo wa zamani wa Manchester United, Juan Sebastian Veron aliamua kurejea katika klabu aliyoanzia kucheza soka ya Estudiantes na kuichezea bure.
Nyota huyo wa zamani wa Argentina amefikisha miaka 41, ameamua kuichezea klabu hiyo huku sehemu ya mshahara wake ukitumika kwa ajili ya maendeleo ya klabu.
Amesaini mkataba wa miaka 18 kuichezea klabu hiyo ndogo ya Argentina.
Mbali na Man United, Veron pia aliwahi kuichezea Chelsea katika Ligi Kuu England.










0 COMMENTS:
Post a Comment