Winga wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Enock Atta Agyei, akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa Sugar, beki Salim Mbonde (pembeni) na winga Kelvin Friday wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2. Cheki picha nyingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment