December 11, 2016


Kiungo Justice Zulu raia Zambia ndiyo gumzo katika utani kwa watani wa jadi Yanga na Simba hasa baada ya Yanga kufungwa jana.

Yanga ililala kwa mabao 2-0 dhidi ya JKU katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

Yanga na Simba wamekuwa wakitaniana kuhusiana na kiungo huyo kupitia mitandao mbalimbali.

Simba wengi wamekuwa wakiwatania watani wao kwamba Zulu maarufu kama “mkata umeme”, ameshindwa kufanya lolote.

Watani wamekuwa wakisema kuwa “mkata umeme”, ameshindwa kuzima hata kibatari.

Hata hivyo, Zulu aliingia kipindi cha pili huku Yanga tayari ikiwa imelala kwa mabao 2-0.


Yanga ilishindwa kukomboa mabao hayo na kufanya JKU.

1 COMMENTS:

  1. HUWEZI KUFIKA PEPONI KABLA YA KUFA, MIMI NI SIMBA DAMU LAKINI APEWE MUDA JAPO FIRST IMPPRESSSION COUNT

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic